Monday, February 18, 2013

BREAKING NEWS KANISA LACHOMWA MOTO ZANZIBAR

Breaking News:Kanisa moja limechomwa moto Visiwani ZNZ alfajiri ya leo na kwa Mujibu wa Kamishna wa polisi mjini MUSA ALI MUSA ,baadhi ya viti vya kanisa vimeungua na kwamba moto huo uliwahiwa kuzimwa kabla ya kusababisha madhara zaidi.Kwa taarifa zaidi endelea KUTEMBELEA MTANDAO HUU

1 comment: