Siku chache baada ya mauaji
ya padri Everisti Mushi wa porokia ya
minara miwili huko Zanzibar baadhi ya viongozi wa dini wilayani makete
wamekemea na kulaan baadhi ya vikundi vinavyojihusisha na vurugu na mauaji ya viongozi wa dini yanayoendelea hapa Nchini
.
Wakizungumza na mtandao huu
kwa nyakati tofauti viongozi hao akiwemo
padri wa kanisa katoliki makete Bw Alexander Mlelwa amesema serikali inachelewa
kuchukua hatua pindi matukio yanapotokea ndio maana mauaji yanaendelea
kufanyika .
Kwa upande wake kiongozi wa dini ya kiislamu
wilayani makete Shekhe Anuari Sanga
waumini wa dini zote wawe na uvumilivu
Paroko wa parokia ya MAKETE mjini
Sherkh mkuu wa msikiti wa Makete mjini sherkh Shekhe Anuari
Na hadija sanga Mwalongo,Mpiluka,Idawa
No comments:
Post a Comment