mtoto
zawadi Godfrey Mwingune mwenye siku 19 kama anavyoonekana akiwa na
macho matatu na uvimbe mkubwa katika paji lake la uso huku kichwani
kukiwa na nundu mfano wa uyoga ambayo inatoa usaa mwingi
Hivi
ndivyo mtato zawadi anavyoonekana kichwa chake uzito wake ni kg 4 na
nusu alizaliwa hospitali ya kibena Njombe ni mwenyeji wa Ikengeza
Isimani mkoa wa Iringa
Hapa mtoto zawadi akiwa amejipumzisha katika kitanda
Wazazi
wa mtoto Zawadi Gofrey Mwingune Bw Godfrey Mwingune (30) na mama wa
mtoto huyo Mathar Kitago (28) wakimtazama mtoto wao kwa huzuni mwingi
kutokana na kukosa fedha za matibabu kwa ajili ya kumsafirisha mtoto
huyo kwenda kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Taifa
No comments:
Post a Comment