Wazazi wilayani makete wameshauri kujitokeza katika chanjo
ya watoto wenye chini ya miaka ili kuwasaidi watoto hao kuwa na kinga ya baadhi
ya mangonjwa yanayo wanayoweza kuyapata
Rai hiyo ilitolewa
na Kaimu mganga mkuu wa wilaya bwana Michael Guraka alipokuwa akizunguza na
waandishi wa habari ofini kwa Guraka alisemakuwa watoto wengi hupata magonjwa
sugu kutokana na wazazi kutowapeleka watoto wao katika chanjo hizo ambazo ni
muhimu kwa ajili ya kuwakinga watoto hao “watoto wengi hupoteza uhai kutoka
nakukosa kinga ya baadhi ya magonjwa kama pepopunda,surua na sasa serikali
imeongeza chanjo nyingine kama chanjo ya kuharisha na vichomi iliyozinduliwa
hivi karibuni na rais Jakaya Kikwete”alisema Guraka
Pia guraka waliwasii
wazazi kutokuwa na mawazo potopfu kuhusu chanjo
chanjo zinazo tolewa na idara ya afya kwa chanjo hizo hudhibitishwa na
wizara husika na pia ametoa hofu kuhusu uvumi kuhusu madhara ya baadhi ya
chanjo ambao ameukuwa ukivisha na watu wasiopenda afya za watanzania .
Wilaya ya Makete ni miongoni mwa wilaya ambazo watoto wadogo
kuanzia miezi hadi miaka mitano kutokana na hali ya hewa pia hali za mazingira
ya wakazi wanaoshi wakazi hao .
No comments:
Post a Comment