Rapper Wiz Khalifa ameongelea utofauti wa mziki na ujumbe kwenye album yake mpya ya O.N.I.F.C ` Only Nigger In First Class' nakusema itakuwa tofauti na Paper Plane kwasababu ni album mpya itakayo onyesha kukua kwa Wiz Khalifa, Mziki mpya uliorikodiwa kwa muda mrefu na umakini zaidi na hapatakuwa na mambo ya uvutaji wa bangi sana kama inavyokuwa kwenye album zangu zingine .Pia kuhusu tarehe za album kubadilishwa kila wakati Wiz amenukuliwa na sammisago.com akisema ni kwa sababu ya promosheni ya album ,mikakati ya kuhakikisha ikitoka inapata mauzo mazuri kwenye soko na mashabiki wanapata bidha nzuri ya Wiz Khalifa.

No comments:
Post a Comment