TAARIFA KUHUSU UGOMVI WA JAY Z NA MWIGIZAJI ROBERT DE NIRO.
Inasemekana
siku chache zilizo pita Mwigizaji Mkubwa na Mkongwe Duniani Robert De
Niro alitaka kufanya mazungumzo na Rapper Jayz kuhusu kazi tofauti alizo
taka kufanya nae mjini New York. Robert alimpigia simu Jay z mara sita
na kumuachia ujumbe akipata nafasi ampigie simu. Jay z hakufanya hivyo
mpaka walivyo kuja kukutana juzi kwenye moja ya party kubwa
New York na Ndio hapo Robert alipo mbwatukia Jay z mbele za watu
kuhusu kukosa nidhamu na kujifanya yeye ndio yeye au mjanja sana kuliko wakubwa zake
. Jay z na Mke wake Beyonce walijaribu kumtuliza Robert kwani alikuwa
akutumia sauti ya juu sana lakini ilishindikana. Jay z alijiskia aibu
sana na kumuomba msamaha Robert hapo hapo.
Robert De Niro JAY Z
Baadhi ya watu maarufu waliokuwepo kwenye party hio walisema kama kuna star New York anaye weza kumzingua Jay z ni Robert na Nas.
No comments:
Post a Comment