Thursday, November 1, 2012

JK AITEKA ARUSHA






Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika shamrashamra za kulizindua rasmi jiji la Arusha Novemba 1, 2012 ambapo maelfu ya wakaazi wa jiji hilo walijitokeza kumlaki na kumshangilia katika hafla hiyo iliyoambatana pia na uzinduzi wa ujenzi wa barabara za jiji hilo. Sherehe hizo za kihistoria zilifanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Picha ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa \Wilaya ya Arusha Mhe John Mongella kuzindua ujenzi wa barabara za jiji la Arusha

No comments:

Post a Comment