Wu Conghan (101), na mkewe mwenye umri wa
miaka 103 wakipozi kwa picha wakiwa wamevaa nguo za harusi nyumbani kwao
katika kijiji cha Nanchong, Sichuan, Novemba 5, 2012. Wanandoa hao
walipigwa picha kwa mara ya kwanza wakiwa wamevaa suti zao za harusi
baada ya kudumu katika ndoa yao kwa miaka 88. Picha hii imepigwa juzi
Novemba 5, 2012. Picha: REUTERS |
No comments:
Post a Comment