Monday, October 29, 2012

ROONEY, DROGBA WABANANA NA MESSI NA RONALDO KUWANIA TUZO YA MWANASOKA BORA WA DUNIA


WACHEZAJI watano wa Ligi Kuu ya England wameingia kwenye orodha ya nyota 23 kuwania tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia wa mwaka wa FIFA, iitwayo Ballon D'Or, ndani yake Muingereza akiwa mmoja tu.
Hao ni kutoka Manchester City, Sergio Aguero, Mario Balotelli na Yaya Toure pamoja na Muingereza pekee, Wayne Rooney na Mholanzi Robin Van Persie, wote wa Manchester United.
Didier Drogba, ambaye aliiwezesha Chelsea kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya kabla ya kuhamia Shanghai Shenhua ya China, pia ameorodheshwa.

ORODHA KAMILI YA WANAOWANIA BALLON D'OR

Sergio Agüero (Argentina & Manchester City)
Mario Balotelli (Italy & Manchester City)
Karim Benzema (France & Real Madrid)
Gianluigi Buffon (Italy & Juventus)
Sergio Busquets (Spain & Barcelona)
Iker Casillas (Spain & Real Madrid)
Didier Drogba (Ivory Coast, Chelsea & Shanghai Shenhua)
Radamel Falcao (Colombia & Atlético Madrid)
Zlatan Ibrahimović (Sweden, AC Milan & Paris St Germain)
Andrés Iniesta (Spain & Barcelona)
Lionel Messi (Argentina & Barcelona)
Manuel Neuer (Germany & Bayern Munich)
Neymar (Brazil & Santos)
Mesut Özil (Germany, Real Madrid)
Gerard Piqué (Spain & Barcelona)
Andrea Pirlo (Italy & Juventus)
Sergio Ramos (Spain & Real Madrid)
Cristiano Ronaldo (Portugal & Real Madrid)
Wayne Rooney (England & Manchester United)
Yaya Toure (Ivory Coast & Manchester City)
Robin van Persie (Holland, Arsenal & Manchester United)
Xabi Alonso (Spain & Real Madrid)
Xavi Hernández (Spain & Barcelona) 

Mario Balotelli of Manchester City, who has been nominated for the Ballon D'Or
Mtukutu Balotelli naye yumo
Golden Boy: Lionel Messi has been shortlisted for the Ballon D'Or but he's already won the Golden Boot for being Europe's top goalscorer last season
Lionel Messi amerodheshwa kwenye wachezaji wanaowania Ballon D'Or, wakati tayari amekwishashinda tuzo Kiatu cha Dhahabu kwa kuwa mfungaji bora Ulaya msimu uliopita
Impressive feat: Messi scored 50 league goals for Barcelona last season, the highest haul in Europe
Messi alifunga mabao 50 katika ligi akiwa na Barcelona msimu uliopita ambayo ni rekodi Ulaya
On the list: Wayne Rooney of Manchester United is the only Englishman to have made the Ballon D'Or shortlist
Wayne Rooney wa Manchester United ni Muingereza pekee katika orodha ya wanaowania Ballon D'Or shortlist
Cristiano Ronaldo of Real Madrid, who has been nominated for the Ballon D'Or
Ronaldo naye yumo

WASHINDI 10 WALIOPITA

Ballon D'Or ilikuwa tuzo ya Mwanasoka Bora Ulaya hadi mwaka 2010, ilipogeuzwa kuwa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa FIFA
2011 - Lionel Messi (Barcelona)
2010 - Lionel Messi (Barcelona)
2009 - Lionel Messi (Barcelona)
2008 - Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
2007 - Kaka (AC Milan)
2006 - Fabio Cannavaro (Real Madrid)
2005 - Ronaldinho (Barcelona)
2004 - Andriy Shevchenko (AC Milan)
2003 - Pavel Nedved (Juventus)
2002 - Ronaldo (Real Madrid)

No comments:

Post a Comment