Picha zote na eddy blog clue
Gari lililombeba katibu wa CCM Abdulrahan Kinana likiwasili kijiji cha Mfumbi wilayani Makete, Njombe akitokea mkoani Mbeya
Katibu wa CCM Ndugu Kinana akisalimiana
na mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro katika eneo la
Mapokezi kata ya Mfumbi wilayani Makete
Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine
Matiro(kulia) akisalimiana na katibu wa NEC siasa na uhusiano wa
kimataifa na mbunge mteule Dkt. Asharose Migiro wakati viongozi hao
walipotembelea kikazi wilaya ya Makete mkoani Njombe hii leo, nyuma ni
Katibu NEC itikadi na uenezi Nape Nnauye
Katibu mkuu wa CCM Ndg Kinana akivishwa skafu mara baada ya kupokelewa wilayani Makete
Sehemu ya umati wa watu waliofurika
kumpokea Katibu mkuu wa CCM ndg Kinana na ujumbe wake katika kata ya
Mfumbi wilaya ya Makete
Katibu wa NEC siasa na uhusiano wa kimataifa Dkt Asharose Migiro akizungumza na wakazi wa Makete waliofika kumpokea
Katibu wa NEC itikadi na uenezi Nape Nnauye akimwaga maneno matamu kwa wanamakete waliofika Mfumbi kumpokea
Katibu
mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana akitoa pongezi zake kwa mapokezi
mazuri aliyoyapata hii leo mara baada ya kuingia ardhi hii ya Makete
No comments:
Post a Comment