Monday, November 25, 2013

DIAMOND PLATINUM ATANGAZA NAFASI YA KAZI

Hitmaker wa 'My Number One' Naseeb Abdul aka Diamond Platinum kupitia 'Wasafi Classic Baby' ametangaza nafasi za kazi mbalimbali,graphic designer,Cameraman,editor.

Somo zaidi huu ujumbe wake aliyoupost kwenye instagram. 

Je unaishi Dar-es-Salaam..? Unakipaji, Uwezo na Elimu ya kupiga picha, kushoot Video na kuedit...? NOTE:- 1)Uwe na Uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa.... 2)Uwe na sample za kazi kadhaa ulizowai fanya... (kushoot na Kuedit) 3)Quality ni kuanzia 1080 na kuendelea... 4)Age, kuanzia Miaka 20 hadi 35.. 5)M'bunifu, Smart na uwe tayari kusafiri popote saa yoyote... Kama unaamini unasifa hizo wasiliana nasi sasa kwa email hii diamondplatnumz@gmail.com ama kwa namba ya simu +255755700400.... Kumbuka, uwe unaisha Dar-es-Salaam...!

No comments:

Post a Comment