Tuesday, June 4, 2013

MATOKEO MAPYA MAKETE YAFURAHISHA WENGI



Kupangwa upya kwa matokea ya mtihani  wa kitano cha nne mwaka 2012kumeonesha mabadiliko bya kupandea kwa viwango vya ufaulu wa wanafunzi kufuatia baadhi ya shule ambazo zilikuwa hazina daraja la pili na la kwanza kupata madaraja hayo 

akizungumza na mtandao huu mkuu wa shule ya sekondari ya iwawa mwalimu Chirstofa Haule amesema mabadiliko hayo yameibuka baada ya kupanda kwa ufaulu shuleni hapo kwa kupanda kwa madaraja kutoka la tatu kuwa daraja la pili na kutoka la pili mpaka la kwanza  jambo ambalo linaashiria mabadiliko 

aidha mkuu huyo wa shule ametoa wito kwa wanafunzi na wa walimu kutokata tamaa katika kufundisha na kujisomea kwa upande wawa wafunzi ili kuendeklea kufanya vizuri katika mitiani inayo endelea na kutopoteza mweleke kwa matokeo yaliyopita 

Habari na Onoratha na Nimlody Msingwa

No comments:

Post a Comment