Tuesday, June 11, 2013

LWAKATALE AACHIWA HURU






Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam  imekubali kumwachia Mkurugenzi wa Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema),  Wilfred Lwakatare kwa dhamana ya Sh10Milioni.

Habari kamili zitakujia

No comments:

Post a Comment