Jaguar ni mmoja wa wasanii
wa Kenya ambao walikula dili la kumfanyia kampeni mshindi wa Urais
kwenye uchaguzi mkuu uliomalizika Uhuru Kenyatta.
Siku kadhaa baada ya Uhuru
kushinda zilianza stori kwamba Jaguar ameahidiwa nafasi kwenye serikali
ya Uhuru kutokana na kufanikisha lengo.
Jaguar akiongea na Mzazi
William Tuva wa Citizen Tv/Radio alisema sio kweli kuhusu kuahidiwa
nafasi ya uongozi ila yuko tayari kama ataitwa.
No comments:
Post a Comment