Kijana
Muhidini Ali Ame akiwa amelazwa katika Hospitali kuu ya Mnazi mmoja
akiwa ameumia sehemu za Kichwa,mkono na baadhi ya sehemu za mwili baada
kupata ajali ya Kugongana na Gari aina ya Toyota ya Nungwi akiwa
amepanda Vespa katika Barabara ya Amani daraja Bovu Zanzibar.
PICHA ZOTE NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANIBAR.\
No comments:
Post a Comment