Tunaomba Radhi kwa picha za kutisha
Mtuhumiwa wa mauaji ya mwalimu Sote Kawamba jana alifikishwa
mahakama katika mahakama ya ya wilaya makete kwatuhuma za kumuua mwalimu wa
shule ya sekondari kitulo aliye uwawa tarehe 27 mwezi februar mwaka huu katika benki ya NMB tawi la
Makete .
Mtuhumiwa huyo wa
mauaji ya mwalimu huyo pc joseph msukuma janaalifikishwa katika mahakama ya wilaya
ya wilaya ya Makete kwajili ya kuandikisha shitaka lake linalo
mkabili la mauaji ya mwalimu wa shule ya sekondari ya kitulo katika benki ya
NMB Makete baada ya mtuhumiwa kuambiwa kwanini
hakuvaa herment na baadae kuuwawa kinyama kwa kumpiga risasi kifuani ..
Muuaji huyo
alifikishwa mahakamani hapo akiwa chini ya ulinzi huku kukiwa na usili mkubwa
kuhusiana na tukio hilo
mtandao huo ulifika eneo hili kwajili ya kupata habari lakini baada ya wanahari
kuingia katika ofisi ya mwendesha mashitaka ndipo asikari waliweza kumfikisha
kizimbani mtuhumiwa hivyo kukosa hata picha yake ..
Asikari polisi
waliofika mahakani hapo walikuwa wapatao 6 kwajili ya ulinzi wa muuaji huyo
ambaye kwasasa yupo katika gereza la Ndulamo kama
mahabusu akisubili maamuzi ya mahakama siku itakapo fika
Kesi hiyo itasomwa
tena tarehe 22 mwezi huu katika mahaka ya wilaya Makete huku taadhali kwa
vyombo vya habari ikiwa juu kutoka na polisi katika sehemu nyingi nchini
kukiuka sheria katika mahakama hususani
kwa kesi ya inayo wahusu polisi kama ilivyo kwa wanahabari wa mkoani Iringa wakati
wanapo fika mahakamani kujua muendelezo wa kesi ya mwandishi wa habari wa chanel ten mkoani Iringa marehemu Daud
Mwangosi
No comments:
Post a Comment