baadhi ya magari yaliyoathirika yakionekana pichani |
|
|
Ajali hiyo ilitokea mapema jana, ambapo ukuta wa eneo la maegesho la magari wanaotumia watu wanaosindikiza ndugu zao katika stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani Ubungo kuanguka Hivyo ukuta huo uliweza kusababisha majeruhi hao na kupatikana kwa hasara ya magari hayo ambayo yalikuwa yameegeshwa eneo hilo Imedaiwa chanzo cha ajali hiyo ni mkandarasi ambaye anayeendelea kubomoa eneo hilo kupisha ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi Wiki iliyopita tayari wafanyabiashara waliokuwa wanaendesha shughuli zao eneo hilo wameshatakiwa kuhama eneo hilo na kuhamia Mbezi ili kupisha ujenzi huo | ||
|
||
|
Monday, January 21, 2013
UKUTA WAHARIBU MAGARI 20 UBONGO BUS TEMINAL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment