Waziri
wa uchukuzi Dk.Harrison Mwakyembe ametoa siku 90 kwa wamiliki na
wasafirishaji wa malori yanayokwenda Mikoa mbalimbali na nje ya nchi
kuondoa vifaa vya bomba za maji walivyoweka ili kutolea mafuta .
Wananchi
wa kijiji cha Bugwema Wilayani Butima Mkoani Mara,wamemtuhumu
Mwenyekiti wa kijiji hicho kuiba mahindi ya msaada ambayo yametolewa na
serikali kwa ajili ya kukabiliana na njaa huku akiwalinda wezi wa mifugo
katika kijiji hicho.
No comments:
Post a Comment