WAZIRI WA NISHATI NA MADINI ATEMBELEWA NA BALOZI WA CHINA LEO
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo akiwa pamoja na
Balozi wa China nchini Tanzania, Bw. Lu Youqing (kushoto) alipotembelea Makao
Makuu ya Wizara hiyo. Kulia Katibu wa Ubalozi wa China nchini, Bw.Ren
Zhihong.
No comments:
Post a Comment