VANESSA MDEE KUTOA SINGLE DESEMBA 28 2012
Baada ya kukimbiza sana katika Track ya Ommy Dimpoz Me and You mwanadada
Vanessa Mdee amefunguka na kusema ataachia single yake hapo Desemba 28
mwaka huu.
Vanessa ambaye ni mtangazaji wa Choice Fm Na MTV Base amejipatia
umaarufu katika nyimbo za AY Money na Ommy Dimpoz Me and
you.............
No comments:
Post a Comment