Saturday, December 15, 2012

KANUMBA SIO WA KWANZA KUWA FREEMASON WAPO WENGI


HAPA NATAKA NIKUKUMBUSHE KUWA MAKALA ZIJAZO TWENDE TARATIBU TU UTAELEWA KWA UNDANI KWA KILA KINACHOTOKEA ULIMWENGUNI, HATA JAY Z ALIKUWA AKIGOMA KUSEMA UKWELI KUHUSU UHUSIANO WAKE NA FREEMASONS LAKINI SIKU MOJA ALIKUJA KUKAMATWA .
JAY Z (mstari wa pili kutoka kulia wa 4)ALIKUTWA KATIKA KIKAO HIKI CHA FREEMASON, NA UKIANGALIA KWA MAKINI UTAGUNDUA HATA MAZISHI YA KANUMBA HAYAKUWA TOFAUTI NITAENDELA KUKULETEA MAMBO ZAIDI KUHUSU HAWA JAMAA.
MAISHA YA KANUMBA NA FREEMASONS
 PENTAGRAM YA FREEMASON MWENZAKE MICHAEL JACKSON
 UNALIONA CHATA HILO KWENYE NGUO
 MSALABA ALIOVAA
 STAILI YA TAI
 ALAMA ZA VIDOLE AVYOWEKA
 UNALIONA JICHO HILO LA FOFA

SIO BURE FREEMASONS HAWAFANYI MAMBO KWA KUBAHATISHA KAMA UNAVYOFIKIRI



1 comment: