Wananchi wa Maleutsi wilayani
Makete wataanza kupata huduma za afya kijijini hapa baada ya jingo la zahanati
ya kijiji hicho kunza kukamilika na kuanza kutumika ifikapo march mwakani
Akiongea na mtandao huu mtendaji wa kijiji
hicho bwana Micheal Sanga amesema amesema ujenzi wa jingo hilo
ulianza September 2009 ambapo mpaka sasa jengo hilo
limepingwa lipu wanasubiriupakaji wa rangi nje ya jingo hilo
Bwana sanga ameuleza mtandao huu kuwa mpaka
jengo hilo
mpaka kukamilika litaghalimu zaidi ya pesa tasilimu million kumi nne ikiwa nguvu za nanchi ikiwa ni zaidi ya
shilingi milioni sita
Wangonjwa wamekua wakipata shida sana ya matibbu kwa muda
mrefu wamelazimika kufuata huduma hiyo Ikonda na makete mijini zaidi ya
kilomita kumi na tano kwa machela jambo ambalo limekuwa likipoteza maisha mengi
husani wakina mama wajawazito
Hata hivyo bwana sanga amesema kuwa mganga mkuu wa wilaya hiyo
aliwaahidi kuwafungia mililango katika zahanati hiyo na sasa wamejipanga kuanza
ujenzi wa nyumba ya muuguzi .
NA FURAHISHA NUNDU
No comments:
Post a Comment