Kocha Msaidizi wa Simba, Mganda Hamatre Richard (mwenye kofia) akiwapa mawaidha wachezaji wa timu hiyo kabla ya mazoezi kwenye Uwanja wa Kinesi, Urafiki, Dar es Salaam. |
Kocha Mkuu wa Simba, Mserbia Milovan Cirkovick akivuta sigara yake wakati Hamatre anazungumza na wachezaji |
Milovan akitafakari mambo |
Milovan akiwa katika dimbwi la mawazo |
Milovan akipoza koo kwa maji ya Uhai |
Milovan akipiga hesabu zake |
Hapa ameingia uwanjani anahesabu hatua kwa ajili ya kupanga koni |
Kocha wa makipa James Kisaka akiwa katika dimbwi la mawazo |
Hapa wachezaji wameanza mazoezi |
Kiggi Makassy kulia akifurahia na Paschal Ochieng kushoto |
Baadhi ya wachezaji wa Simba wakijiandaa kuingia uwanjani |
Kiggi Makassy akijiandaa kuingia uwanjani |
No comments:
Post a Comment