Sunday, October 14, 2012

Mkututano Mkuu Wa Uchaguzi CCM Mkoa Wa Iringa


Joseph Mhumba akijieleza mbele ya wapiga kura kwenye ukumbi wa St.Dominic Iringa mjini
Jesca Msambatavangu akijinadi mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa wana CCM Iringa.
Geofrey Mosha akijieleza
Wajumbe wa mkutano
Wasimamizi wa uchaguzi
Mwenyekiti UVCCM -Iringa Tumaini Msowoya akifatilia kikao cha uchaguzi kwa makini kulia kwake ni mwenyekiti wa UWT -Iringa mama Mwamwindi . Tutawaletea habari zaidi

No comments:

Post a Comment