Sunday, October 21, 2012

HICHI NDICHO KILICHO WAWEKA WAISLAMU BARABARANI(MAANDAMANO)

Sababu ni Kama Ifuatavyo:

1. Quran Kukojolewa

2. Shekhe Ponda Kukamatwa.

3. Shekhe Faridi ajulikani alipo huko Zanzibar.

4. Waislam Kuonewa na Kuteswa kwa sababu ya Mbagala
5. Akina mama Wa Kiislam Kudhalilishwa wakati wa Kichapo Mbagala.

6. Msikiti Umepigwa Bomu la Machozi mbagala.

7. Askari wameingia na Viatu Msikitini.

8. Rais amewapa pole Wakristo.

9. Maaskofu kuwapongeza Polisi Kuwakamata Waislam na kuwaweka ndani.


Kumbe Safari ilikuwa ni kwenda Ikulu

No comments:

Post a Comment