Mitihani yadarasa la saba imemalizika vyema wilayani Makete
mihani huo uliodumu kwaiku mbili umemalizika katika hali
usalama kwa maeneo yote ya wilaya hii mtihani huo ilianza juzi nakumalizika
jana katika hali ya usalama bila kulipotiwa vitendo vya ubadhilifu wa mtihani
hiyo
bonzuma blogspot ilitembelea baadhi ya shule ikwemo Lupila ,Sunji,Maliwa,Ikite,Tandala,
Tulishuhudia mtihani ikwa katika hali salama na katika haili ya utulivu mpaka mtihani inamalizika hakuna tukio lolote lili lipotiwa
No comments:
Post a Comment