Friday, February 17, 2017

VIDEO watangazeni hadharani baada ya kuwakamata’ – Waziri mkuu

 Waziri mkuu wa Tanzania Kasim Majaliwa leo amefungua Baraza la Taifa la Kudhibiti Dawa za Kulevya ambalo linaundwa na Wajumbe mbalimbali wakiwemo Mawaziri.
Waziri Mkuu Majaliwa aliwaambia wajumbe kuwa wasisite kuwatangaza hadharani Wahusika wote wanaofanya biashara ya dawa za kulevya baada ya kuwakamata na kujiridhisha…

No comments:

Post a Comment