RAIS WA MAREKANI, BARACK OBAMA AELEKEA AFRIKA YA KUSINI KUHUDHURIA MAZISHI YA SHUJAA NELSON MANDELA
Rais
wa Marekani, Barack Obama na mke wake Michelle Obama wakipunga mikono
wakati wa kuondoka Washington na kuelea Afrika ya Kusini ili kuhudhuria
mazishi ya Rais wa zamani Nelson Mandela aliyefariki akiwa na umri wa
miaka 95.
No comments:
Post a Comment