Tuesday, May 14, 2013

KWA HALI HII KWELI TUTAFIKA KWELI BARABARA NDIYO HII JE WIZARA HUSIKA INAJUA?


hawa ni baadhi ya wasafiri na wananchi wa maeneo jirani na korongo tatu wakijitolea nguvu zao kwa kulima sehemu ya barabara hiyo ili kuwezesha magari kupita.

No comments:

Post a Comment