Wednesday, April 24, 2013

WSAFIRISHAJI MAKETE WAASWA


Wito umetolewa kwa  wamiliki wa  vyombo vya usafili kufuata  taratibu zilizo wekwa  na Sumatra ili kuondoa migogoro inayo tokea baina  ya wamiliki wa vyombo vya usafiri  katika barabara za makete mbeya na njombe makete.

Hayo yamesemwa na mkuu wa kituo  chapolisi sp peter kaiza huku akikemea baadhi ya  wamiliki wa  vyombo vya usafili wa abilia katika  njia hizo kupitia malalamiko yaliyotolewa  na  baadhi ya  wamiliki wa kampuni ya japaniis na mwafrica waliopewa  kibali cha kusafirisha abilia katika  barabara  ya makete-mbeya na makete -njombe


No comments:

Post a Comment