Saturday, April 13, 2013

KILIMO CHA MAHINDI SONGEA KUSAIDIWA NA BALOZI WA CHINA.

 

 Mwenyekiti wa CCM Oddo Mwisho akimpa zawadi ya kinyago balozi wa China anaye shuhudia kulia Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Joseph Mkirikiti   
 Mwenyekiti wa Halmashauli ya Songea vijijini Rajabu Mtiula akimpa Kapu  Balozi wa China,Katikati Mbunge wa jimbo la Peramiho Jenista Mhagama 

 Mzee wa kimilila amabaye jina lake halikufahamika mara moja akimvesha mgorori balozi wa China Nchini Tanzania Lu Younqing 
 Afisa habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Revocatus Kasimba akiteta jambo na mkuu wa wilaya ya Mbinga Senyi Ngaga Kulia  
............................................................................................................................
Na Nathan Mtega,Songea.
 
BALOZI wa china nchini Tanzania Lu Younqing ambaye yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya siku tatu ameahidi kuleta wawekezaji zaidi na watalaamu wengi katika sekta ya kilimo cha mahindi ili kulifanya zao hilo liwe  la kibiashara linalozalishwa kwa njia ya kilimo cha kisasa zaidi na kuwafanya wakulima wa zao hilo kujikwamua zaidi kichumi   .
 
Ahadi hiyo aliitoa wakati wa siku ya kwanza ya   ziara yake alipokuwa akikagua mashamba mbalimbali ya kilimo cha mahindi ambacho kinachofanywa na wakulima wa zao hilo latika jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma .
 
Katika ziara hiyo ya balozi Lu Younqing alitoa misaada mbalimbali kwenye

No comments:

Post a Comment