Tuesday, April 23, 2013

DC AWAASA MAKAMUPUNI YA PEMBEJEO


kucheleweshwa kwa malipo ya ya fedha  kwa makampuni na mawakala wadogo wanaosambaza  pembejeo wilayani makete vivyo kufanya mawakala na makampuni kushidwa kujipanga katika miaka ijayo

 wakitoa kero zao mbele ya mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro  ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya vocha za ruzuku wilaya ya Makete mawakala hao wakiwa na makampu yao wameoneshwa  kusikitishwa sana na serikali kuchelewesha malipo ya pembejeo ambazo tayari wamezisambaza

 miongoni mwa  wamakamapuni yaliotoa malalamiko yao mipamoja na ni YARA wasambazaji wa mbolea za kukuzia ,Hilands sead grouth wasamabazaji wa mbegu za mahindi tropical sead wasamabazaji wa mbengu na tas wasambazaji wa mbolea za minjingu

 kwaupandea wake meneja wa Hilands sead amesema kuwa mpaka sasa wamesha sambaza zaidi ya tani 8 kwa mikoa ya nyanda za juu kusini pekee bila hata malipo hivyo kufanya kampuni kuteteleka na kushidwa kujipanahga kwa mika inayofuata 

katika hatua nyingine mkuu wa wilaya  Mh Josephine Matiro  amewataka kujenga  maghara na maduka  wilayani ya makete  ili kurahizisha upatikanaji wa pembejeo kwa wakulima pia kurahizisha usafilishaji kutoka Makete mjini na kupeleka vijiji .

aidha mkuu huyo wa wilaya ya Makete aliwataka maafisa ugani kudhibiti  uchakachuaji wa pembejeo  ikiwemo kubadilisha pengu pam hivyoja na mbolea nao kujipanga katika ukaguzi pia


No comments:

Post a Comment