Sunday, April 21, 2013

BARAZA LA MADIWA MAKETE KUANZA TAREHE 24 MWEZI HUU


Baraza la madiwani katika halimashauri ya wilaya ya Makete linatarajia kuanza vikao vyake  kuanzia tarehe 24 mwezi  katika ukumbi wa harmashauri ya wilaya Makete.

 Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi mtendaji wa harmashauri ya wilaya ya Makete bwana Iddi Nganya amesema kusema kuwa vikao hivyo vya baraza la madiwa pamoja na wataalamu ambapo baraza hilo litakuwa na kazi ya kujadili maendeleo na mwendendo wa wilaya ya Maket husasani utekelezaji wa miradi iliyo iburiwa.

Bwana nganya amewataka wananch wa wilaya hii kutumia fulsa hiyo kutoa kero zao na kumpa diwani wa kata yao ili wakilishe kwa kwenye ofisi za halishauri ili swali au hoja litafutiwe ufumbuzi na kuingizwa kwenye agenda zitakazo jadiliwa kwenye katika kikao hicho.

aidha bwana nganya amewaomba wanachi wote kushiki katika katika vikao hivyo kwani ni haki ya kila mmoja kushiki na kusikilizwa kinacho zungumzwa kwenye baraza la madiwanikwa maendeleo ya jamii yake

 

 Mwenyekiti wa halimashauri ya wilaya ndugu Danieli Abram Okoka

i baraza la pili toka mwaka huu wa 2013 uanze kufanyika ambapo baraza la awali lifanyika mwezi  mapema february

No comments:

Post a Comment