Wanahabari wa mikoa ya njombe
iringa na ruvuma wamekutana mkoani iringa na wametakiwa kutoa elimu kwa
wananchi wa mikoa hiyo juu ya chanjo mpya ya nimokoko na lota vairasi kikao hicho kiliandaliwa na wizara ya
afya na kilifanyika kwenye ukumbi wa chuo kikuu huria cha mkoani iringa .
Haya yamesemwa na mkuu wa
mkoa wa iringa Dr Christine ishengoma
alipokuwa akifungua washa hiyo ya siku moja kwa wanahabari hao.
Dr ishengoma amesema kuwa kumekuwepo
na upotoshaji kuhusiana na chanjo ila kupitia
vyombo vya habari wataweza kufanikiwa katika zoezi hilo
Kwa upande wake mganga mkuu
wa mkoa wa iringa aliwashukuru
wanahabari na kuongeza kuwa
kunachangamoto katika tasinia hii
ikiwemo kuwasirisha taarifa .
No comments:
Post a Comment