Thursday, March 7, 2013

TUKIO JINGINE TENA MTOTO AKUTWA AMEKUFA BAADA YA KUTUPWA KICHAKANI IRINGA.


 Wananchi  wakiwa  wameubeba mwili  wa mtoto huyo baada ya  kutupwa 
 



MTOTO anayekadiliwa kuwa wa mimba ya miezi sita amekutwa amefariki dunia baada ya kutupwa na mtu asiyefahamika

Tukuio hilo limetokea leo majira ya saa 7:30 mchana katika eneo la shule ya msingi ya Mtwivila manispaa ya Iringa.

Mashuhuda watukio hilo wamesema kuwa tukio hilo ni lapili kutokea katika kata hiyo wakati tukio lingine lilitokea wiki mbili zilizopita “haya matukio tumechoka nayo wanawake wamekuwa wauwaji hawana hata hofu ya mungu tukio hili jamani sio lakwanza wikimbili zilizopita tumokota mtoto katika kata hii kwanini wanashika mimba kama hawajajipanga”alisema Rukia Juma.

No comments:

Post a Comment