Nikama kitendawili lakini hali halisi ndo hiyo hiyo bi amye
sanga makazi wa wilayani makete ambaye anasumbuliwa na tatizo la kansa ya jicho
mpaka sasa hana msaada wowote na mpaka sasa anaishi na mama yake mzazi ambaye
ni mzee pia sana
pia
Na hana uwezo wa kuweza kusaidi kifedha na bia mama huyo nae
anaumwa pia
Matandao huu ulifika
nyumbani kwa dada huyo ambaye na eleza hali halisi “niliishi njombe hapo awali
nilianza kuumwa jicho nikalazimika
kwenda hosptali ya Ilembula ya mjini Njombe ndipo niliambiwa natakiwa kutolewa
jicho la kushoto na baada ya hapo nikawa nimepona lakini miezi saba iliyo pita
jicho hilo lilianza kuvimba nikaamua kurudi nyumbani na nilipo kwenda hospitali
walisema nina kansa ya macho na nikapewa rufaa ya kwenda katika hospitali ya CCBRT
ya jijini dar esaa lam nimekaa miezi mitano nyumbani bado hali ni ngumu”
Dada Amye anaendelea kwa kusema mpaka sasa anakaa na mama
mzazi ambaye ni zee sana
pia hana uwezo wa kipesa dada huyu anashindwa hata kutoka nje hali inayo
sababisha ajisaidie ndani ya nyumba tena kitandani hali ambayo nia hatari kwa
afya yake na wengine pia
Mtandao huu ulifunga safari mpaka kwenye ofisi ya mkuu wa
wilaya ya makete mh Josophine matiro ambaye alitoa kibari cha kurusu mchango
kwa wasamaria wema huku yeye akianza kuchangi shilingi 1000000
Kupia mtandao huu dada
huyo amnaomba msaada wako ili kufanikisha kwenda jijini dar esaa lam kwajili ya
matibabu
Kama unataka kumsaidia dada huyu tumia nambari ya simu
0765255560 pia kama ni mkazi wa makete fika
ofisi za redio kitulo ulizia riziki mgaya au bonzuma pia
Shukurani za
dhati ziwaende ambao mpaka sasa wamesha anza kumchangia dada h
No comments:
Post a Comment