Sunday, February 17, 2013
HUU NI UKWELI NANI ANATAKIWA KUCHINJA
Taswira:Waziri
Mkuu Mizengo Pinda Alipokutana na Viongozi wa dini za Kikristo na Dini
ya Kiislamu na kujadili mgogoro wa uchinjaji wanyama kilichofanyika
kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza
Mkurugenzi wa Radio ya Kikristo ya jijini Mwanza ya Kwaneema,
Askofu Mpemba akichangia katika kikao kati ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda
na Viongozi wa dini za Kikristo na Dini ya Kiislamu cha kujadili mgogoro
wa uchinjaji wanyama kilichofanyika kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini
Mwanza Februari 16,2013.
Sheikh Hasani Kabeke wa Mwanza akichangia katika kikao cha
klutatafuta muafaka kati ya Waislamu na Wakristo kuhusu uchanjaji
wanyama kilichoitishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwenye ukumbi wa
Banki Kuu jijini Mwanza Februari 16, 2013
Viongozi wa madhehebu ya Dini ya Kikristo wakimsikiliza Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza na Viongozi wa Dini ya Kiislam
na Kikristo kujadili mgogoro wa uchinjaji wanyama kwenye ukumbi wa
Benki Kuu jijini Mwanza Februari 16,2013.
Viongozi wa madhehebu ya Dini ya Kiislam wakimsikiliza Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza na Viongozi wa Dini ya Kiislam
na Kikristo kujadili mgogoro wa uchinjaji wanyama kwenye ukumbi wa
Benki Kuu jijini Mwanza Februari 16,2013.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa Radio ya Kikristo ya jijini Mwanza ya Kwaneema, Askofu Mpemba.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kijadili jambo na Sheikh Mkuu wa
Wilaya ya Sengerema, Ahmed Ali (kushoto) na Sheikh wa msikiti wa
Buswelu, Athumani Ali katika kikao cha kujadili mgogoro wa uchinjaji
wanyama kati ya Waziri Mkuu na viongozi wa dini za Kikristo na Kiislamu
kilichofanyika kwenye ukumbi wa Benki kuu jijini Mwanza Februari 16,
2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment