Wananchi wilayani makete wamelalamikia
kucheleweshwa kwa ukarabati wa barabara za mitaa unaondelea na kusababisha adha
kwa watumiaji wa barabara hizo .
Wakizungumza na Kitulo fm
baadhi wa wananchi hao wamesema kuwa vifusi toka vimewekwa ni wiki sasa
havijasambazwa hadi sasa
Aidha wananchi hao
wamelalamikia tabia za baadhi ya
wakandarasi wanaotengeneza barabara kutoweka vibao vya alama za kuonyesha matengenezo hasa
katika maeneo yanayopita vyombo vya moto
No comments:
Post a Comment