Sunday, February 10, 2013

CHEKI MAGARI YA BABU WA LOLIONDO BAADA YA KIKOMBE




Nilipofanya interview na Babu wa Loliondo ambayo ilisikika kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM Feb 7 2013 alikataa kabisa kutaja bei aliyonunulia magari yote matatu aliyonayo lakini mmiliki mmoja wa showroom Dsm akaniambia magari yote aliyonayo thamani yake inagonga kwenye milioni 120, hili ni moja wapo… kama unavyomuona kakaa mbele kushoto...

SOMA ZAIDI HAPA:Chanzo:www.millardayo.com

No comments:

Post a Comment