Sunday, December 23, 2012

VANESSA MDEE KUTOA SINGLE DESEMBA 28 2012


Baada ya kukimbiza sana katika Track ya Ommy Dimpoz Me and You mwanadada Vanessa Mdee amefunguka na kusema ataachia single yake hapo Desemba 28 mwaka huu.

Vanessa ambaye ni mtangazaji wa Choice Fm Na MTV Base amejipatia umaarufu katika nyimbo za AY Money na Ommy Dimpoz Me and you.............

No comments:

Post a Comment