Friday, December 28, 2012

LWENGE :BARABARA YA LAMI MAKETE HADI 2015

Makete Dk Binilithi MahengeNaibu waziri ujenzi Gerson  Lwenge akitoa maelezo kwa naibu waziri wa maji ambaye pia ni mbuge wa wakati wa ukaguzi wa barabara ya Njombe Makete inayo jengwa kwa kiwango cha lami yenye urefu wa km 157(picha na Riziki manfred)
hapa tupo Ikonda kwenye kipande cha lami
tumifikika Kitulo hali ya barabara ndo hiyo utari je








Naibu waziri wa ujenzi injinia Gerson Lwenge jana alikagua barabara za wilaya ya Makete baaada ya malalamiko ya baadhi ya wananchi kutoka Makete kuhusu uchelewashwaji kwa baadhi ya wakandarasi
akisoma taarifa ya ujenzi wa barabara hiyo meneja TANROD mkoa ailseama barabara hiyo inajengwa vipande vipande kutokana na hali ya hewa pia uhaba wa pesa ambapo barabra hiyo mpaka sasa imeghalimu zaidi ya shilingi bilioni 25 kufutia barabara hiyompaka sasa imejenga urefu kilomita 17 kuanzia Mangoto hadi Ikonda
 lakini alitoa habari njema kwa wana makete kuwa ifuikapo 2015 barabara hiyo itakuwa ikaribia kufika Makete mjini kwani ipo katika katika ilani ya mwaka2010 hadi 2015 hivyo  barabara hiyo
kwa upande wake mbunge wa Makete Dk Mahenge alishukuru ujio wa waziri huyo na kuona hali halisi ya ubovu wa barabra pia akamuomba waziri huyo kusaidia kupandisha hadhi barabara za Kipengere hadi Lupila kuwa za mkoa 
Makete ni moja ya wilaya ambazo zinachangamoto kubwa ya miundombenu jambo ambalo linachangia kushuka kwa uchumi nna maendele katika wilaya hiii

No comments:

Post a Comment