Sunday, November 25, 2012

LEO PARIKUWA HAPATOSHI IRINGA KATIKA UWANJA WA SAMORA


 wasanii  wa  kundi la Bongo Movie  wakicheza  sanjari na mzee  Yusuph katika  uwanja  wa  samora  wakati  wa Mapumziko   ya mechi ya Ahsante  watanzania  kwa  kumchangia msanii Sajuki katika mkoa  wa Iringa






Mzee  Yusuph  akipagawisha  katika uwanja  wa  samora sasa


 Umati  wa  mashabiki  wakishuhudia show
 Ma Dj  wa  Ebony  FM  wakiwa kazini katika uwanja  wa  samora (Picha zote na www.francisgodwin.blogspot.com
Zipo picha nyingi kali kwa ajili yako kuhusu tukio hili, ili kuziona BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment