Sunday, November 18, 2012

HII NDOO UPENDO PHOTO

 Hapa ni ofisi ya upendo photo studio Mabewani Makete mjini


Jana jioni nilitembelea maeneo ya mabewani nilipita Upendo photo wapiga picha maarufu Makete mjini ee bwana jamaa wanatisha picha za rangi kwa dk 3 haijawai kutokea makete mjini pia wanashut video na wana saund ya ukwel hapa sina neno

No comments:

Post a Comment