>>BARCA, SHAKHTAR, BAYERN, VALENCIA ZAFUZU!
Mabingwa watetezi wa Ulaya, Chelsea,
wapo hatarini kulibwaga chini Taji lao baada ya kunyukwa Bao 3-0 na
Juventus huko Mjini Turin kwenye Mechi ya Kundi E la UEFA CHAMPIONZ LIGI
na sasa hatima yao haipo tena mikononi mwao maana katika Mechi za
mwisho za Kundi lao ikiwa Mechi kati ya Shakhtar Donetsk, ambao tayari
wamefuzu, na Juventus itakuwa sare tu basi wao hata wawafunge
Nordsjaelland Bao Milioni moja wako nje.
Katika Mechi nyingine zilizochezwa
Jumanne Barcelona, Shakhtar Donetsk, Bayern Munich na Valencia
zimefanikiwa kufuzu na kuungana na Manchester United, Malaga na FC Porto
ambao walikuwa tayari wamefuzu kabla MECHI DEI 5 kuanza.
Mitanange mingine ya Makundi A hadi D inaendelea Jumatano Usiku.
++++++++++++++++++++++++++++++++
[MISIMAMO=Kila Timu imecheza Mechi 5]
KUNDI E
FC Nordsjælland 2 FC Shakhtar Donetsk 5
Juventus 3 Chelsea FC 0
MSIMAMO:
1 Shakhtar Donetsk Pointi 10 [IMEFUZU]
2 Juventus 9
3 Chelsea 7
4 Nordsjaelland 1 [NJE]
KUNDI F
BATE Borisov 0 Lille 2
Valencia CF 1 FC Bayern München 1
MSIMAMO:
1 Bayern Munich Pointi 10 [IMEFUZU]
2 Valencia 10 [IMEFUZU]
3 BATE Borisov 6 [NJE]
4 Lille 3 [NJE]
KUNDI G
Spartak Moscow 0 Barcelona 3
SL Benfica 2 Celtic FC 1
MSIMAMO:
1 Barcelona Pointi 12 [IMEFUZU]
2 Celtic 7
3 Benfica 7
4 Spartak Moscow 3 [NJE]
KUNDI H
Galatasaray 1 Manchester United 0
CFR 1907 Cluj 3 SC Braga 1
MSIMAMO:
1 Man United Pointi 12 [IMEFUZU]
2 Galatasaray 7
3 CFR Cluj-Napoca 7
4 Braga 3 [NJE]
RATIBA MECHI ZIJAZO:
[Mechi zote kuanza SAA 4 DAK 45 Usiku isipokuwa inapotajwa]
Jumatano Novemba 21
FC Porto v GNK Dinamo
FC Dynamo Kyiv v Paris SaintvGermain FC
Arsenal FC v Montpellier Hérault SC
FC Schalke 04 v Olympiacos FC
FC Zenit St. Petersburg v Málaga CF [SAA 2 Usiku]
RSC Anderlecht v AC Milan
AFC Ajax v Borussia Dortmund
Manchester City FC v Real Madrid CF
++++++++++++++++++++++++++++++++

No comments:
Post a Comment