Saturday, September 15, 2012

WANAFUNZI WA DARASA LA SABA NA SITA WASOMA DARASA MOJA WILAYANI MAKETE



      Huu ndio usafiri tuliokwenda nao huko
    


Mwandishi kutoka Kitulo fm Edwini Moshi akifanya mahojiano na wanafunzi wahule ya msingi Makangalawe mwenzi April mwaka huu alipotemelea shule hiyo kabla ya jana tulipo tembelea tena shule hiyo





 WAlimu na wanafunzi  wa shule ya misingi Makangalawe wilayani Makete akiongea na waandi wa habari waliofika shuleni hapo (picha zote  na Riziki Manfred Mgaya Bonzuma na Edini moshi)






Shule ya Msingi Makangalawe iliyoko Wilayani Makete Mkoani NJombe imeanzisha mpango wa chakula shuleni kwa kuwapatia wanafunzi chakula cha mchana na uji asubuhi
        Akizungumza na rizikimgayablogspot mwalimu wa chakula Bi Atupagite mgaya amesema wameanzisha mpango huo baada ya kushuka kwa kiwango cha elimu shuleni hapo Bi mgaya amesema baada ya kungua hili kuwa lina sabaishwa na wanafunzi wengi kufua chakula nyakati za mchana na baadhi ya wanafunzi kutorudi shuleani awamu ya pili hivyo kukosa kwa masomo shuleni hapo
      Kwaupande wao wanakijiji hicho ameupongeza uongozi washule nakuwataka kudumisha upendo huo baina ya wanafunzi na walimu na walimu na wazazi 
       Katika hali nyingine shule inakabiliwa na upungufu wa madarasa  rizikimgayablogspot ilifiaka shuleni hapo nakushuhudi wanafunzi wa madarasa la sita na saba wakisoma chumba kimoja jambo ambalo linaendelea kushusha elimu shuleni hapo 
          tilizungumza na ungozi wa shule hiyo akiwemo mwenyekiti wa kijiji hicho ambae pia ni mjumbe wa halmashauri ya shule hiyo Bwana Patrick Malumba amesema tayali wameshapeleka suala hilo ngazi za juu na tayari jimbo katori la Njombe limeonyesha kuwasaidia katika ujenzi wa chuma kimoja ambacho kitaanza kujengwa hivi karibuni

  

1 comment: