Nyota wa muziki wa Pop, Rihanna.
New York, MarekaniNYOTA wa muziki wa Pop, Rihanna hivi karibuni alijikuta akiaibika mbele ya mashabiki wake baada ya kuvuja kwa kipande cha video katika mitandao ya kijamii kikimuonyesha mpenzi wake mpya, Travis Scott akitumia dawa za kulevya aina ya Cocaine.
“Scott siyo aina ya mtu wa kuwa na Rihanna, hakufanya chaguo sahihi, ona anavyomuaibisha, bado ni mtoto kiakili,” aliandika shabiki mmoja kwenye ukurasa wa Instagram wa Rihanna.
No comments:
Post a Comment