Tuesday, July 30, 2013

MADEREVA BODA BODA IRINGA WAENDESHA MSAKO MKALI KUSAKA WATEKAJI WANASA WANNE


Madereva  boda  boda mji wa Iringa wakitembeza  kichapo kwa vijana  wanne wanaotuhumiwa  kuwa ni vibaka mara baada ya kunaswa  katika msako wa watekaji wa madereva  boda  boda
Mmoja kati ya  vibaka  akipelekwa  polisi
Madereva  boda  boda  wakijaza mafuta  katika kituo cha  Hope Service Station kituo  ambacho  wao  wanadai ni ukombozi  wako kwa  uuzaji mafuta mjini Iringa

No comments:

Post a Comment