Tuesday, June 11, 2013

PICHA ZA MREMBO ALIYECHINJWA KAMA KUKU NA KUTUPWA JALALANI

 Mwili wa Pepetua Maina ukiwa katika shimo la taka.Mwili wa huo ulikutwa na polisi Juni 8, mwaka huu  Mikocheni B, jirani kabisa na makazi ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova.
Kwa mujibu wa mtoa habari, mwili wa msichana huyo ulionekana na mfanyakazi mmoja wa ndani wakati akienda kutupa takataka eneo hilo ambapo alipouona alipiga kelele zilizowafanya majirani kukimbilia eneo la tukio na kujionea wenyewe.

No comments:

Post a Comment