Saturday, June 8, 2013

MTANZANIA MWENZETU ANATARAJIWA KUNYONGWA IJUMAA HII HUKO MISRI.....HII NI VIDEO YA TUKIO ZIMA



Asubuhi  tuliripoti  juu  ya  kuwepo  kwa  mtanzania  mwenzetu  anayetarajiwa  kunyongwa  ijumaa  hii (   bado  hatuna  uhakika  ).....
Tumefanikiwa  kuinasa  video  wakati  akikamatwa  na  madawa  ya  kulevya...
Hizi ndo picha  za huyo msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au nchini Misri.
Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwa

No comments:

Post a Comment