Tuesday, May 28, 2013

BREAKING NEWS NGWEA AFARIKI DUNIA


Ngwea-22
 msanii wa miondoko ya HIPHOP Abert Magwea amefariki dunia akiwa South Africa. Sababu kamili kuhusiano na chanzo cha kifo hicho bado hazijajulikana. Watu smart entertainment tunaendelea kufuatilia ukweli japo
Taarifa zinasema Kwamba
Ngwea akiwa na msanii M to the P jana
south africa.mtu wa karibu anasema
walitakiwa kurudi dar leo lakini
waliwakuta wamezima kwenye room
wote wawili baada ya kuji overdose
madawa ya kulevya na M to the P yupo
hoi hospitali.

No comments:

Post a Comment